Booking

Book your ticket ONLINE today!

Book Now

Charter

Ferry Services

Learn more

Azam Marine Kutangaza Kutoa Seabus 5 Kwenye Orodha Ya Meli Zake

KAMPUNI YA AZAM MARINE CO LTD

YENYE MAKAO YAKE MAKUU ZANZIBAR

INATANGAZA KUUZA BOTI YAKE YA SEA BUS 5

BOTI ITAUZWA KWA MTU YOYOTE ATAKAYE HITAJI

MASHARTI YA UUZWAJI NI KAMA YAFUATAYO:

 

 

  • BOTI ITAUZWA KAMA ILIVYO

 

  • BOTI ITAUZWA IKIWA NI BODY PEKE YAKE

 

  • MNUNUZI HATOTAKIWA KUITUMIA KWA SHUGHULI ZOZOTE ZA UBEBAJI ABIRIA AU MIZIGO.

 

  • MNUNUZI ATANUNUA BOTI HII IKIWA KAMA SCRAP CHUMA CHAKAVU

 

  • MNUNUZI ATATAKIWA KUIKATAKATA BOTI YOTE

 

  • MNUNUZI ATATAKIWA KULIPA 100% YA MAKUBALIANO YA BEI YOTE.

 

 

 

KWA MAWASILIANO TAFADHALI FIKA

KATIKA OFISI ZETU ZA ZANZIBAR AU DAR ES SALAAM

 

Back to:
Azam News

Our People

Quality Services

Facebook Like Widget